WAP Groups
Download Free Ringtones & Wallpapers @ PHONEKY.com

Polls
Create Your Own App Store

* WABONGO > Polls


Here are the results so far .....


* hivi maendeleo yataletwa kwa mdomo tu au kwa kufanya kazi?

OF 2 VOTES....

* mbona kuna watu maalum wamewekwa kuhakikisha mtu hapati maendeleo? (1) %50
* kitu gani kinachofanya bei iwe juu wakati wapimaji wanalipwa kila mwezi? (1) %50
* kwa kufanyia njama na hujuma na kuhakikisha hata akisema haaminiwi.wanathubutu kumwaga milioni kadhaa.....? (0)
* je waweza kwenda mahamani kwa watu walio kulia njama tena wakitumia lugha za alama? (0)
* je unadhani sheria ya ardhi inamsaidia mtu wa kawaida kwa bei ya milioni moja na nusu kwa kiwanja kidogo? (0)
* au nondo na sakafu kiduchu ndiyo inayofanya bei ipae na kuwa milioni moja na nusu? (0)
* lengo la serikali wananchi wake kakaa maeneo yaliyopimwa yatafikiwa ikiwa mtumishi wa serikali tu hawezi kununua kiwanja (0)
* je huoni wanaojenga maeneo yasiyopimwa wako halali kwa kuwa wao ni watanzania? (0)
* au kukosa uwezo wa kununua kiwanja ni sababu tosha ya kukosa uraia je niende wapi na hii ni nchi yangu asilia? (0)
* kwa nini bei isiwekwe kulingana na uwezo halisi wa mtanzania au waweke bei ziwe na matabaka kati ya matajiri na maskini? (0)


* Posted by: rsmusa


* WABONGO

Create Your Own App Store

topTop
groupsGroups
mainProdigits

Custom Search


Create Your Own App Store